Katika msimu wa vuli, watu wengi wanapika kwa boga
kwa sababu huu ni msimu wa kuvuna boga. Watu wanaweka boga katika kila chakula:
pankeki, saladi, na nyama, na wali, na katika keki. Hiki chakula ni keki ya
boga na mtama. Millet ni punje kama wali walakini ni ngumu kidogo. Keki ni
nyevu na mtama ongeza ladha mpya. Keki ni nzuri sana, sana sana.
Viungo:
- kikombe nusu cha punje ya mtama
- yai moja
- kikombe nusu cha krimi aina ya ‘sour cream’
- kikombe nusu cha maziwa
- vijiko vya mezani vinne vya siagi, iliyoyeyuka
- kikombe kimoja cha boga chenye kuseta
- kikombe theluthi moja cha sukari
- kikombe theluthi moja cha sukari ya kahawia
- vikombe viwili vya unga
- kijiko cha chai kimoja cha hamira
- kijiko cha chai nusu cha soda ya kuoka
- kijiko cha chai nusu cha chumvi
- kijiko cha chai nusu cha mdalasini
- kijiko cha chai robo cha kungumanga
- kijiko cha chai robo cha karafuu yenye kusaga
Maelekezo:
1. Washa moto tanuri hadi digrii mia nne. Weka gazeti ainya
ya ‘muffin’ katika sufuria ya keki.
2. Washa jiko moto wastani. Weka mtungi katika jiko na
ongeza mtama. Choma millet kwa dakika tatu au nne, hata inafanya sauti ya
“pop.”
3. Katika bakuli, kuroga yai, sour cream, maziwa, siagi,
boga, sukari, na sukari ya kahawia. Katika bakuli nyingine, ongeza unga,
hamira, soda ya kuoka, chumvi, mdalasini, kungumanga, na karafuu yenye kusaga.
Ongeza unga mchanganyiko katika boga mchanganyiko na koroga.
4. Teka mchanganyiko katika vikombe vya keki. Jaa vikombe
vya keki. Oka kwa dakika ishirini na tano. Ruhusu keki kuzimua kwa dakika tano.
No comments:
Post a Comment