Siku ya alhamisi iliyopita, nilipika chakula cha jio kutoka
chama cha Half the Sky. Kiini cha chajio kilikuwa Afrika ya mashariki. Nilipika
viazi, mchuzi wa choroko, wali na mandazi. Mandazi yalikuwa sahani bora na watu
wote waliipenda!
Viungo:
- yai moja
- kikombe nusu cha sukari
- kikombe cha nusu cha maziwa
- vijiko vya mezani viwili vya siagi, yenye kuyeyuka
- vikombe viwili vya unga
- vijiko vya chai viwili vya hamira
- Mafuta
Maelekezo:
1. Katika bakuli, ongeza viungo vyote na koroga. Weka
sufuria katika jiko na washa moto. Weka mafuta katika mtungi ili kwamba inakuwa
inchi mbili za mafuta.
2. Nyooka unga uliokandwa katika bodi yenye kuwa visha
kidogo kwa unga. Nyooka unga uliokandwa katika inchi ya nne moja. Kata unga uliokandwa katika
pembe tatu na weka katika mafuta moto.
3. Kaanga hata mandazi yanakuwa ya rangi ya
kahawia katika pande zote. Taratibu ondoa mandazi ya mafuta na kausha kwa
taulo.
No comments:
Post a Comment