Siku ya Krismasi, familia wangu sisi hupika kuki ya sukari. Nina
makumbuko mengi ya familia yangu na mimi tunaunda unga uliokandwa, tunaunyooka,
tunaukata, tunauoka, na tunaupamba. Ninapenda kuki sana kwa sababu inakuwa tamu
na inapokuwa pamba, ina rangi nyingi. Pia, maagizo ya upishi haya yanaunda kuki
nyini sana sana sana!!
Viungo:
Kuki:
- kikombe kimoja na nusu cha siagi
- vikombe viwili vya sukari
- mayai manne
- kijiko cha mezani cha vanilla
- vikombe vitano vya unga
- vijiko vya mezani vya soda ya kuoka
- kijiko cha mezani cha chumvi
“Frosting”
- vikombe vinne vya sukari ya ungaunga
- kikombe nusu cha siagi
- vijiko vya chai viwili vya maziwa
- kijiko cha mezani cha vanilla
- rangi ya kuongeza katika chakula
Maelekezo:
1. Katika bakuli kubwa, piga siagi na sukari. Ongeza mayai
na vanilla na piga.
2. Ongeza unga, soda ya kuoka na chumvi na piga. Funika na
poa katika “refrigerator” kwa saa moja.
3. Washa moto tanuri hadi digrii mia nne. Nyoosha unga
uliokandwa katika bodi yenye kuwa visha kidogo kwa unga. Nyoosha unga
uliokandwa katika inchi robo. Kata unga uliokanda kwa kutumia kikata kuki. Hamisha
katika sufuria ya kuoka na kuoka kwa dakika sita kwa kumi. Poesha kabisa mbele
pamba kwa “frosting.”
4. Katika bakuli, piga siagi na sukari ya ungaunga. Ongeza
maziwa na vanilla na piga kwa dakika nyingi hata inakuwa ngumu. Ongeza food
coloring na pamba kuki!
No comments:
Post a Comment